Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo (kushoto) akibadilishana hati ya msaada wa kiasi cha bilioni 133 na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Tonia Kandiero (kulia) leo mjini Dar es Salaam kwa ajili ya miradi ya kilimo na elimu nchini.
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo (katikati) akijibu maswali ya waandishi wa habari leo (hawapo pichani) mjini Dar es Salaam mara baada ya kupokea hati ya msaada wa kiasi cha bilioni 133 kutoka kwa Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Tonia Kandiero (kulia) kwa ajili ya miradi ya kilimo na elimu nchini. (Picha zote na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es Salaam)