Absalom Kibanda Atuma Salamu kwa Watanzania Kibanda atuma salamu kwa Watanzania. Hope all is well. Salamu nyingi saaana toka JBG! I could not resist! Yes I cried! But Absalom is the same person I knew last two months! Amesimama! Mungu ni Mwema!!! Anaomba watanzania wamwombee na amesema anaendelea vizuri kwa sasa… Cheers, Hoyce Temu.