SBL yawaandalia lunch wahariri wa habari kuelekea Kombe la Tusker Chalenji

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Serengeti Breweries Ltd (SBL), Phraim Mafuru akizungumza katika hafla hiyo.

Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Phraim Mafuru (kushoto), Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Richard Wells wakifuatilia mazungumzo anuai katika hafla ya chakula cha mchana leo.

Kulia ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah akiwa na wahariri na wadau wa soka kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Serengeti Breweries Ltd (SBL) kwa wahariri wa habari leo Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda (kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Richard Wells.

Meneja Mawasiliano wa Serengeti Breweries, Imani Lwinga (wapili kulia). Kulia ni Msemaji wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Maulid Kitenge wakiwa kwenye hafla hiyo.

Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda

Baadhi ya waandishi wa habari za mtandao na wamiliki ya 'Blogs' wakijiweka tayari kurusha matukio ya hafla hiyo 'live'.

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), Juma Pinto kulia akiwa kwenye hafla hiyo.

Baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari

Anitha kutoka kampuni ya PR ya R & R Associates akiandaa mambo kwenye laptop yake kabla ya kuanza kwa hafla hiyo ya wahariri.