Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania, Rene Meza ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam. Rene alimtembelea Waziri Mkuu kwa lengo la kujuliana hali na kujitambulisha kama sehemu ya kuendeleza uhusiano wa Vodacom na serikali. Katikati ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza aliyefika ofisini kwa Waziri Mkuu leo kwa lengo la kujuliana hali na kujitambulisha kama sehemu ya kuendeleza uhusiano wa Vodacom na serikali. Katikati ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba.