Taarifa za Sensa nchini sasa ni kwa mfumo wa kompyuta

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akitoa ufafanuzi leo jijini Dar es Salaam kuhusu zoezi linaloendelea la uingizaji wa taarifa za sensa ya majaribio kwenye mfumo kwa komputya mara baada ya kumalizika hivi karibuni katika maeneo mbalimbali nchini. Kulia ni Mwakililishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DK. Julitta Onabanjo.

Kamisaa wa Sensa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Paul Kimiti (katikati) akielezea leo jijini Dar es Salaam kuhusu jinsi sensa ya majaribio iliyomalizika hivi karibuni itawawezesha kuimarisha maandalizi ya sensa hapo mwakani. (Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es Salaam)