Matukio Maonesho ya Wajasiriamali Wanawake

Baadhi ya Viongozi, wageni mbalimbali na waandaaji wa Maonesho ya Wajasiriamali Wanawake wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Tanzania, Sophia Simba baada ya kufungua maonesho hayo leo.

Washiriki wa Maonesho hayo wakionesha na kunadi bidhaa zao katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Mkurugenzi Mtendaji wa Classic Beauty Salon & Wedding Centre, Bi. Restituta Karashani (aliyefunga kilemba) akiwa anashiriki maonesho ya Wajasiriamali Wanawake Viwanja vya Mnazi Mmoja jana.