WAFANYAKAZI NMB WASHIRIKI MASHINDANO YA MOTHLY MUG, GOFU

Mchezaji wa timu ya gofu ya NMB, George Kivaria ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Huduma Mbadala za Kibenki wa NMB akishiriki mashindano ya gofu ya Mothly Mug yanayoandaliwa na Klabu ya Gofu ya Lugalo.

Mchezaji wa timu ya gofu ya NMB, Gibson Mlaseko ambaye pia ni Meneja Mahusiano ya Wateja wa NMB akishiriki mashindano ya gofu ya Mothly Mug yanayoandaliwa na Klabu ya Gofu ya Lugalo.

Mchezaji wa timu ya gofu ya NMB, Michael Misabo ambaye pia ni Meneja wa Huduma kwa Njia ya Mtandao akishiriki mashindano ya gofu ya Mothly Mug yanayoandaliwa na Klabu ya Gofu ya Lugalo.

Wafanyakazi wa benki ya NMB Tanzania wameshiriki mashindao ya gofu ya kila mwezi yanayoandaliwa na Klabu ya Gofu ya Lugalo yanayofahamika kama Mothly Mug ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya gofu vya Lugalo.

Mchezaji wa timu ya gofu ya NMB, Gibson Mlaseko ambaye pia ni Meneja Mahusiano ya Wateja wa NMB akishiriki mashindano ya gofu ya Mothly Mug yanayoandaliwa na Klabu ya Gofu ya Lugalo.