Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori akizungumza wakati wa kufungua mafunzo kwa Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa Kata na Mitaa yatakayofanyika kwa siku nne katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akielezea lengo la mafunzo muda mchache kabla ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori kufungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa Kata na Mitaa yatakayofanyika kwa siku nne katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo.
Wakuu wa Idara na Vitengo Manispaa ya Ubungo sambamba na Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa Kata na Mitaa wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori wakati wa kufungua mafunzo ya siku nne ya kuwajenega uwezo Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa Kata na Mitaakwa.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg Jmaes Mkumbo akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori kufungua mafunzo kwa Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa Kata na Mitaa yatakayofanyika kwa siku nne katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo.
Mkuu wa Idara ya Mipango na Uchumi Manispaa ya Ubungo Ndg Yamo Wambura (Kulia) sambamba na Hosia Kivulenge wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori wakati akifungua mafunzo kwa Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa Kata na Mitaa yatakayofanyika kwa siku nne katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo.
Afisa Utumishi Mkuu wa Manispaa ya Ubungo Ndg Ally Juma Ally akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori wakati akifungua mafunzo kwa Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa Kata na Mitaa yatakayofanyika kwa siku nne katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo.
Wakuu wa Idara na Vitengo Manispaa ya Ubungo sambamba na Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa Kata na Mitaa wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori wakati wa kufungua mafunzo ya siku nne ya kuwajenega uwezo Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa Kata na Mitaakwa.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akielezea lengo la mafunzo muda mchache kabla ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori kufungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa Kata na Mitaa yatakayofanyika kwa siku nne katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo.
John Lipesi Kayombo kwa kuandaa mafunzo hayo kwani yatatoa fursa kwa Wenyeviti na Watendaji wa Kata na Mitaa kuimarika katika nidhamu ya utendaji hususani kutekeleza mambo yaliyoainishwa kutekelezwa katika maeneo yao kwa maslahi ya wananchi.
MD Kayombo alisema kuwa mafunzo hayo yanalenga kuinua kiwango cha utendaji kazi kwa kuongeza stadi na maarifa ya uongozi ambayo yatachangia kuongeza tija na ufanisi katika shughuli zao ikiwa ni pamoja na kuondoa migogoro ya kila siku baina ya Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa
Kata na Mitaa.