Haya ndiyo madarasa mawili yenye thamani ya sh. milioni 30 yaliyojengwa na mfuko wa huduma za kijamii (Vodacom Foundation) katika Shule ya Sekondari ya TAI ilyopo Rorya mkoani Mara ikiwa ni sehemu ya shuguli za mfuko huo kwa jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Bw. Benedict Kitenga (kulia) akikata utepe kuzindua madarasa mawili yenye thamani ya sh. milioni 30 yaliyojengwa katika shule ya Sekondari TAI wilayani humo kwa msaada wa Vodacom Foundation, (kushoto) ni Meneja wa mfuko wa huduma za kijamii (Vodacom Foundation) Yessaya Mwakifulefule.