Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimlisha kipande cha keki mumewe Rais Dk.Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kutimiza miaka 61 ya kuzaliwa kwake iliuyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni. Anayeshuhudia ni mwanawe Ridhwani Kikwete na mkewe pamoja na Aziza, mjukuu wa Rais (picha na Ikulu).