NSSF Washiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Kitaifa Kilimanjaro

Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii (NSSF) lilivyoshiriki sherehe za Siku ya wafanyakazi duniani (Mei mosi) zilizofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

 

Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii (NSSF) lilivyoshiriki sherehe za Siku ya wafanyakazi duniani (Mei mosi) zilizofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Wananchi wakiwa katika banda la NSSF.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wawili wenye ulemavu mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyakazi na wadau mbalimbali waliohudhuria katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Rais John Magufuli akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kushoto ni  Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama. 

Wafanyakazi wa MSD Kanda ya Kaskazini wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais John Magufuli na viongozi wengine wakati wa maadhimisho hayo.
 
 Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi  (katikati), akitoka kupokea zawadi yake.
 Wafanyakazi wa MSD Kanda ya Kaskazini wakiwa tayari kwa maandamano.
Maandamano kuelekea jukwaa kuu alipo mgeni rasmi Rais John Magufuli.