Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa (kulia) akimkabidhi
fedha taslim kiasi cha Sh. Milioni mbili (2Mil.), Mrembo
mwenye taji wa Tanzania kwa Mwaka 2016 – 17, Diana Edward ikiwa ni
sehemu ya stahiki yake aliyotakiwa kuipata baada ya kutwaa taji hilo,
mapema mwaka jana. Fedha hizo zimetolewa na Mmoja wa Wadhamini wa
shindano hilo, ambao ni Duka Maarufu kwa Uuzaji wa vito vya thamani la
Gift Jewellers lililo ndani ya Jengo la City Mall, Jijini Dar es salaam.
Kamati ya Miss Tanzania mwezi jana iliahidi mbele ya Baraza la Sanaa la
Taifa (BASATA) kuwa ingeweza kumalizana na Mrembo huyo mapema mwezi huu
na sasa wamekamilisha deni hilo kupitia kwa Mdhamini wao ambaye ni Gift
Jewellers. Makabidhiano hayo yamefanyika Aprili 7, 2017.

Kulia ni Meneja Masoko wa Duka la Vito vya thamani la
Gift Jewellers, Faudhia Abdulrahman.
Gift Jewellers, Faudhia Abdulrahman.
Mrembo mwenye taji wa Tanzania kwa Mwaka 2016 – 17, Diana Edward (katikati)
akipokea zawadi kutoka kwa Meneja Masoko wa Duka la Vito vya thamani la Gift Jewellers, Faudhia Abdulrahman (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kumkamilishia fedha za zawadi zake kiasi cha shilingi Milioni 2 alizokuwa akidai Mrembo huyo kwa Kamati ya Miss Tanzania baada ya kushinda taji hilo mapema mwaka jana.

Fedha hizo zimetolewa na Mmoja wa Wadhamini wa shindano hilo, ambao ni Duka Maarufu kwa Uuzaji wa vito vya thamani la Gift Jewellers lililo ndani ya Jengo la City Mall, Jijini Dar es salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa.
Mrembo mwenye taji wa Tanzania kwa Mwaka 2016 – 17, Diana Edward akionyesha
sehemu ya zawadi yake aliyopewa kutoka Duka la Vito vya thamani la
Gift Jewellers muda mfupi baada ya kukabidhiwa kitita chake. Wengine
pichani toka kushoto ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco
Majaliwa, Meneja Masoko wa Duka la Vito vya thamani la
Gift Jewellers, Faudhia Abdulrahman pamoja na Mkuu wa Itifaki na Nidhamu
wa Miss Tanzania, Albert Makoye.

Mrembo mwenye taji wa Tanzania kwa Mwaka 2016 – 17, Diana Edward akipozi kwa picha nje ya Duka la Vito vya thamani la Gift Jewellers.