Angalia Mitindo Ndani ya V. I. P. Reception Awards Gala…!

Mmoja wa warembo akiwa katika vazi la mwanamitindo nguli wa kimataifa Asya Idarous Khamsi kwenye hafla ya V.I.P. Reception Awards Gala, Fairfax, Virginia.

 

Warembo wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Jumamosi March 11, 2017 Fairfax, Virginia kwenye V.I.P. Reception Awards Gala iliyohudhuriwa na Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae.
Mwanamitindo nguli wa kimataifa Asya Idarous Khamsin akiwa katika picha ya pamoja na

Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae

 

 Mrembo akiwa katika vazi la mwanamitindo nguli wa kimataifa Asya Idarous Khamsi.
 Vazi kutoka kwa mama mitindo wa kimataifa Asya Idarous Khamsin.