Rais Magufuli Akipokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi…!

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Mohamed Ben Mansour Al Malek Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.

 

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Zambia Mhe. Benson Keith Chali Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.

 

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Cuba Mhe. Lucas Dominingo Hermandes Polledo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017