Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha pa kumbukumbu pamoja na baadhi ya watanzania, waishio nchini Sweden, baada ya kumaliza mazungumzo nao wakati alipokutana na watanzania hao katika Ukumbi wa Hoteli ya Gillet Clarion, iliyopo Uppsala Sweden.
- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Watanzania waishio nchini Sweden, baada ya kumalizika kwa mkutano wakati alipokutana na wanachama wa Jumuiya ya watanzania hao ‘RIKS’ jana Septemba 25.
- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wenyeji wake baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Gillet Clarion iliyopo Uppsala Sweden jana, kwa ajili ya kuzungumza na Watanzania waishio nchini hapa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Watanzania, waishio nchini Sweden wakati alipokutana nao katika mkutano Septemba 25, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gillet Clarion iliyopo Uppsala Sweden. Kushoto ni kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa Sweden, Prof. Lodhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Watanzania, waishio nchini Sweden wakati alipokutana nao jana Septemba 25, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gillet Clarion iliyopo Uppsala Sweden. Kuliani ni Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Muhammed Mwinyi Mzale
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Watanzania, waishio nchini Sweden wakati alipokutana nao jana Septemba 25, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gillet Clarion iliyopo Uppsala Sweden. Kuliani ni Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Muhammed Mwinyi Mzale
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mrembo Miss Africa Scandnavia 2010/2011, Michelle Jeng, baada ya kumalizika kwa mkutano baina yake na Watanzania waishio nchini Sweden, uliofanyika kwenye Ukumbu wa Hoteli ya Gillet Clarion, iliyopo Uppsala nchini hapa jana Septemba 25. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Muhammed Mwinyi Mzale.
(Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR)