Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo.
Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa (kushoto) akibadilishana mawazo na maafisa waandamizi wake wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Oktoba 06, 2016 amezindua kiwanda cha kusindika matunda kinachomilikiwa na kampuni za kitanzania za Bakhresa katika eneo la Mwandege, Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Kiwanda hicho ni miongoni mwa viwanda 13 vinavyomilikiwa na kampuni za Bakhresa vilivyopo Dar es Salaam na Pwani, kina uwezo wa kusindika tani 350 za matunda kwa siku, kimeajiri karibu wafanyakazi 1,000 na uwekezaji wake umegharimu takribani Shilingi Bilioni 261.Akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho cha kwanza tangu aingie madarakani Rais Magufuli amempongeza Mwenyekiti wa kampuni za Bakhresa Bw. Said Salim Bakhresa kwa uwekezaji huo na amesema Serikali yake itamuunga mkono yeye na wawekezaji wengine ambao wanazalisha ajira na kulipa kodi ipasavyo.
“Nawapenda wafanyabiashara wanaolipa kodi, nawachukia wafanyabiashara ambao hawalipi kodi, nawapenda wafanyabiashara wanaotengeneza ajira kwa Watanzania, wewe umetengeneza ajira za Watanzania, na umeendelea kutengeneza ajira kule mjini kwa wauza juisi na wengine, lakini pia unatengeneza ajira kwa wakulima.
Mtu akitengeneza nanasi zake anajua kuna soko la kupeleka, mtu akilima maembe yake anajua kuna soko la kupeleka” amesema Rais Magufuli. Dkt. Magufuli ametoa miezi miwili kwa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kupeleka umeme katika kiwanda hicho ili kupunguza gharama za uzalishaji zinazosababishwa na kutumia umeme unaozalishwa na majenereta.
Pia ameahidi kuzifanyia kazi changamoto zilizotajwa na mmoja wa Wakurugenzi wa kampuni za Bakhresa Bw. Abubakar Said Salim Bakhresa zikiwemo kupatiwa gesi asilia kwa ajili ya kuendeshea mitambo ya kusindika matunda na urasimu unaosababishwa na wingi wa taasisi zinazodhibiti uzalishaji wa bidhaa. Aidha, Rais Magufuli ametoa wito kwa kampuni za Bakhresa kuwekeza katika uzalishaji wa sukari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa bidhaa hiyo na amesema endapo kampuni hiyo ipo tayari Serikali itatoa eneo la kuzalisha miwa na kujenga kiwanda.
Mapema akitoa taarifa juu ya hali ya viwanda katika mkoa wa Pwani, Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi Evarist Ndikilo amesema pamoja na viwanda viwili vya kampuni za Bakhresa vilivyopo Mkoani Pwani, Mkoa huo unavyo viwanda vingine 88 ambavyo vinazalisha bidhaa na vingine vipo katika hatua mbalimbali za ujenzi, vikiwemo viwanda viwili vikubwa Afrika Mashariki na Kati ambavyo ni kiwanda cha uzalishaji wa vigae (Tiles) na kiwanda cha kuzalisha nondo na vyuma vya madaraja vitakavyokamilika ifika Desemba mwaka huu.
Vingozi wengine waliohudhuria uzinduzi huo ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega na Katibu Mkuu wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe Filberto Hassan Sanga alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa Bakhressa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa Bakhressa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na afisa mwandamizi Bakhressa Food Products LTD.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na afisa mwandamizi Bakhressa Food Products LTD.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamanda Boniventure Mushongi .
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa mkoa wa pwani.
Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akifurahia baada ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.

Afisa Uhusiano wa Bakhresssa Group akitoa muhtasali wakati wa ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa.
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa akisoma risala kwenye shere hizo.
Mbunge wa Mkuranga Mhe abdallah Ulega akisema machache.
Wafanyakazi na wageni waalikwa.
Wafanyakazi na wageni waalikwa.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma ripoti kuhusu viwanda na uwekezaji mkoani humo.
Mshereheshaji Charles Hilary akiwa kazini.
Wafanyakazi na wageni waalikwa.
Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akiongea machache kabla ya kumkaribisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo.
Wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo.

Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akimshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo jimboni wakati akiendelea kuhutubia.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na maafisa waandamizi wa Bakhressa Group.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wafanyakazi wa Bakhressa Food Products Ltd.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Charles Hilary wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Bw. Dunstan Tido Mhando. PICHA NA IKULU.