Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia, Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Rais wa Kenya, William Ruttona wageni wengine wakielekea jukwaani kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka ambako amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016.
Rais mteule wa Zambia, Edgar C. Lungu akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kwenye sherehe za kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia, Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwapongea Rais Edgar C’ Lungu na Makamu wake wa Rais Mama Inonge Mutukwa Wina baada ya viongozi hao kula viapo kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka. Mama Samia amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kwenye sherehe hizo. PICHA NA IKULU.