Dk Mrema Ana kwa Ana na Kamishna Jenerali Jeshi la Magereza

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini ambaye pia ni Katibu wa bodi ya Parole John Casmir Minja akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dk. Augustine Mrema wakati alipomtembelea ofini kwake ili kujua matatizo mbalimbali yanayoikabili bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dk. Augustine Mrema akizungumza na Maafisa wa Jeshi la Magereza (hawapo pichani) wakati alipomtembelea Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo ambaye pia ni Katibu wa bodi ya Parole John Casmir Minja (kushoto)ili kujua matatizo mbalimbali yanayoikabili bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini ambaye pia ni Katibu wa bodi ya Parole John Casmir Minja akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dk. Augustine Mrema wakati alipomtembelea ofisini kwake ili kujua matatizo mbalimbali yanayoikabili bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dk. Augustine Mrema akiagana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini ambaye pia ni Katibu wa bodi ya Parole John Casmir Minja wakati Dk. Mrema alipomtembelea ofisini kwake mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Picha na Eliphace Marwa – Maelezo.