Mmoja wa maofisa kutoka Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto) akimwelezea mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa sayansi nchini ‘The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop’ uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, mkutano huo umeandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.

Timu ya mauzo ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ikiwa katika banda lao nje ya mkutano wa Tatu wa wadau wa sayansi nchini ‘The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop’ uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, mkutano huo umeandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini ‘The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop’ ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission wakiwa katika banda la maonesho ya bidhaa mpya za TTCL.
Baadhi ya wateja (kushoto) wakipata huduma katika banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) lililokuwa nje ya mkutano wa Tatu wa wadau wa sayansi nchini ‘The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop’ uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini ‘The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop’ uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission wakishiriki katika mkutano huo. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini ‘The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop’ ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission wakiwa katika banda la maonesho ya bidhaa mpya za TTCL wakipokea vipeperushi vya kampuni ya TTCL vinavyoelezea bidhaa na huduma zao mpya.