TMA Yatoa Semina kwa Wanahabari Juu ya Masuala ya Hali ya Hewa

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (mbele kushoto), Dk Agnes Kijazi akizungumza wakati akifunga semina ya wanahabari juu ya masuala anuai ya hali ya hewa iliyofanyika Ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa, Ubungo.

Mtaalamu wa Hali ya Hewa kutoka TMA (mbele) akiwasilisha mada kwa wanahabari leo juu ya masuala anuai ya hali ya hewa katika semina iliyofanyika Ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa, Ubungo.