Sehemu ya vyombo vya kampuni ya Free Media wamiliki wa Gazeti Tanzania Daima na Club Bilcanas inayomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe vikiwa nje ya jengo hilo mara baada ya kutolewa na kampuni ya udalali ya Fosters kwa kushindwa kulipa deni analodaiwa fedha la zaidi ya bilioni 1.171.

SHIRIKA la Nyumba Tanzania (NHC) limevitoa nje vyombo vya mpangaji kampuni ya Free Media wamiliki wa Gazeti Tanzania Daima na Club Bilcanas inayomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa madai ya mpangaji huyo kudaiwa zaidi ya shilingi bilioni 1.171 ikiwa ni limbikizo la muda mrefu kama malipo ya pango katika jengo lao.
Vyombo hivyo vimetolewa nje na sasa vinashikiliwa na NHC kupitia madalali wake ambapo wamesema wataviuza ikiwa atashindwa kulipa deni hilo ndani ya siku 14 tangu wavishikilie. Mkurugenzi wa NHC, Joshua Mwaituka aliyeongoza zoezi la kuvitoa nje vyombo hivyo alisema walimpa notisi ya siku 30 na baadaye kumuongezea nyingine ya siku 14 ili alipe lakini hadi wanafanya zoezi hilo hakuwa ametekeleza.