Waziri Mkuu Atembelea Banda la NMB Nanenane Mbeya

Meneja wa kanda wa Benki ya NMB Badru Idd akimsindikiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mara baada ya kutembelea Banda la Benki hiyo wakati wa maonesho ya Kilimo Nanenane Jijini Mbeya(kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea maelezo kutoka kwa Meneja wa NMB anayeshughulikia Kilimo Kanda Lugano Fungo namna ambavyo Benki hiyo inasaidia mikopo ya matrekta kwa wakulima.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahamasisha wajasirimali na wakulima(hawako pichani) ambao ni wateja wa Benki ya NMB waliohudhuria mafunzo katika Banda la benki hiyo wakati wa kilele cha maonesho ya siku ya wakulima ya Nane nane jijini Mbeya