Manjano Yawakutanisha Wanawake Dar Kujadilia Changamoto za Biashara

Meneja Rasilimali watu Kutoka Benki ya NMB Dada Edith Mwiyomela akitoa Mada kwa Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam walionufaika na Mradi Kutoka Taasisi ya Manjano waliokutana kujadili na Kuangalia namna ya Kutatua changamoto wanazokutana nazo kwenye Biashara yao ya Upambaji na Uuzaji wa Vipodozi, Ambapo wameaswa Kuwafanya Kazi kwa Bidii, kuwa na Nidhamu na Pia kuweka akiba Pamoja na Kuwa na uvumilivu kwenye kazi zao za kila siku ili kuweza Kufikia Malengo waliyojiwekea.

Meneja Rasilimali watu Kutoka Benki ya NMB Dada Edith Mwiyomela akitoa Mada kwa Wanawake wa Mkoa wa Dar es salaam walionufaika na Mradi Kutoka Taasisi ya Manjano waliokutana kujadili na Kuangalia namna ya Kutatua changamoto wanazokutana nazo kwenye Biashara yao ya Upambaji na Uuzaji wa Vipodozi, Ambapo wameaswa Kuwafanya Kazi kwa Bidii, kuwa na Nidhamu na Pia kuweka akiba Pamoja na Kuwa na uvumilivu kwenye kazi zao za kila siku ili kuweza Kufikia Malengo waliyojiwekea.

  
Washiriki wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali kwenye mkutano huo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa wa Shear Illusions na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Manjano Foundation Mama Shekha Nasser (kushoto) Akimsiliza Mmoja wa Wanawake aliyekuwa akieleza namna anavyopambana na Changamoto zinzowakabili Wanawake wengi kwenye Biashara zao. Kwa Upande Mwingine Mama Shekha Nasser Amawataka Wanawake  waliohudhuria namna gani ya kuweza kutofautisha faida na mtaji. Biashara nyingi za kina mama hufa baada ya mwaka mmoja tu kwa sababu wanawake wengi hawana nidhamu ya kutunza pesa. Hivyo tutaona matokeo ya ‘Savings Club’ zitakavyo wawezesha kusave pesa ili wasiweze kula mitaji na faida yote kwa pamoja

Washiriki wakisiliza kwa Makini namna ya Kupambana Changamoto mbalimbali zilizowsilishwa kwenye mkutano huo.