Shirika la Ashoka Ladhamilia Kuinua Uchumi kwa Vijana

1

Clemens Mulokozi Kutoka Mkoani Bukoba Ambaye ni mmoja wa washirika katika shirika la Ashoka Afrika wakiwa Mkoani Arusha kwa lengo la kufanya kongamano maalumu litakalosaidia vijana, wajasiliamali na vikundi mbalimbali katika kuinua uchumi

2a

2

Baadhi ya washiriki wa Ashoka wakiwa wanaangalia filamu fupi kwenye projecta inayozungumzia majukumu ya shirika hilo kwa wanajamii

3

Mkurugrenzi wa radio Jamii Joseph Shakiku wa kwanza kutoka mkono wa kulia akimsikilza Peris Wakesho kutoka Nchini Kenya hayupo Pichani ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la Ashoka

4

Viongozi na Baadhi ya washiriki wa Ashoka wakiwa wakimsikiliza mmoja wa washirika baada ya kumaliza naangalia filamu fupi kwenye projecta inayozungumzia majukumu ya shirika hilo kwa wanajamii