Profesa Mbarawa Afanya Ziara Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, JNIA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa malekezo wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea Mamlaka hiyo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa malekezo wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea Mamlaka hiyo.

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya kuhudumia mizigo, Ndege na abiria ya Swissport inayotoa huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), alipofanya ziara ya siku moja ya kutembelea uwanja huo Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Swissport, Gaudence Temu (wa pili kushoto), akimuelekeza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kulia), jinsi kampuni hiyo inavyofanya
kazi na changamoto zake. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi George Sambali. Kushoto ni Meneja Biashara wa TAA, Efata Lyimo.
Vifufushi vikiwa kwenye ghara jipya la Swissport.
Foku lifti likifanya kazi ya kubeba mizigo katika ghara hilo.
Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji, Elizabeth Lukuwi (kushoto), akutoa maelezo kwa Waziri Mbarawa baada ya kufika eneo la ukaguzi kwa wageni.

Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji, Elizabeth Lukuwi, akimpigia saluti Waziri Mbarawa baada ya kumpa maelekezo ya utendaji kazi katika kitengo cha wageni kiwanjani hapo.

 

Waziri Mbarawa akizungumza na Raia wa Kigeni aliyemuelezea kutumia muda mwingi zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya upimaji wa afya uwanjani hapo ambapo Waziri huyo aliwaagiza wahusika kuhakikisha wanatumia muda mfupi kutoa huduma kwa wageni ambao wanakuwa wamerundikana katika eneo hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wa JNIA wakiwa uwanjani hapo.
Ofisa Usalama wa Kampuni ya Ujenzi ya Kimataifa ya Bam, Zueri Salum Mbungu akitoa maelezo kwa waziri Mbarawa (hayupo pichani) na ujumbe aliongozana nao  kuhusu hatua za usalama kabla ya kwenda kukagua ujenzi wa mradi wa Uwanja wa  ndege wa Terminal 3 unaojengwa na kampuni hiyo.
Taswira ya jengo la mradi wa Terminal 3 unavyoonekana katika hatua ya ujenzi.

Waziri Mbarawa (katikati) na ujumbe wake wakiendelea na ukaguzi wa Mradi wa Terminal 3.

 

Meneja Biashara wa Kampuni ya Ujenzi ya Kimataifa ya BAM inayojenga Mradi wa Terminal 3, Chris Bowers (kulia), akimuelekeza jambo kuhusu ujenzi wa uwanja huo.
Taswira ya timu nzima iliyoongoza na Waziri Mbarawa wakati wa kutembelea uwanja huo