TANAPA Yawapeleka Wahariri, Wanahabari Waandamizi Hifadhi ya Mikumi

Baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi jana. TANAPA iliwapeleka wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari walioshiriki Mkutano wao wa Mwaka uliofanyika mjini Morogoro.

Wanyama Twiga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi.

Baadhi ya wanyama wakiwa katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana.

Mnyama aina ya swala katika Hifadhi ya Taifa Mikumi. TANAPA iliwapeleka wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari walioshiriki Mkutano wao wa Mwaka uliofanyika mjini Morogoro.

Mnyama ngiri katika Hifadhi ya Taifa Mikumi. TANAPA iliwapeleka wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari walioshiriki Mkutano wao wa Mwaka uliofanyika mjini Morogoro.

Wanyama aina ya swala katika Hifadhi ya Taifa Mikumi.

Wanyama aina ya swala katika Hifadhi ya Taifa Mikumi.

Baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi jana. TANAPA iliwapeleka wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari walioshiriki Mkutano wao wa Mwaka uliofanyika mjini Morogoro.

Baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi jana. TANAPA iliwapeleka wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari walioshiriki Mkutano wao wa Mwaka uliofanyika mjini Morogoro.

Kundi la wanyama aina ya swala na punda milia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa Mikumi. TANAPA iliwapeleka wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari walioshiriki Mkutano wao wa Mwaka uliofanyika mjini Morogoro.

Wanyama aina ya ngiri wakiwa wanapigana katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana. TANAPA iliwapeleka wahariri na waandishi waandamizi kutoka vyombo anuai vya habari walioshiriki Mkutano wao wa Mwaka uliofanyika mjini Morogoro.

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Blogu Tanzania (TBN), Joachim Mushi (mwenye fulana nyekundu) akiwa katika picha na baadhi ya wanachama wa TBN walioshiriki Mkutano wa Mwaka wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA).

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Blogu Tanzania (TBN), Joachim Mushi (mwenye fulana nyekundu) akiwa katika picha na baadhi ya wanachama wa TBN walioshiriki Mkutano wa Mwaka wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) mjini Morogoro. Pichani wakiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Mikumi. Kushoto kabisa ni Mhariri Godfrey Chongolo wa UPL.