Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Mkutano wa Africa World Heritage Arusha

3

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumaane Maghembe.

1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wasanii waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kufungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ mjini Arusha Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.

2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith baada ya kufungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Mei 31, 2016.

4

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa wa’ Africa World Heritage ‘ wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.

5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Vitambu kutoka Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith katika mkutano wa ‘Africa World Heritage’ aliounfungua kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.

6

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe wakati alipomkaribisha kufungua Mkutano wa “Afrca World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.

PICHA NA OFIS YA WAZIRI MKUU