Picha ya Mwanahabari Makongoro Oging’ enzi za uwai wake.
Mmiliki wa Blog ya Michuzi, Issa Michuzi akitoa heshima za kwa mwili wa marehemu.
Mhariri wa Habari wa Gazeti la Champion, Salehe Ali akitoa heshima za mwisho kwa marehemu.
Waombolezaji wakiwa na huzuni wakati wa kuaga mwili wa mpendwa wao Makongoro.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV. Samu Mahela akitoa heshima za mwisho.
Mwenyekiti mstaafu wa Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akiwa kwenye shughuli hiyo ya kumuaga Makongoro Oging’
Ndugu yake na Makongoro Oging’ akilia wakati wa kumuaga mpendwa wake Makongoro.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa kwenye uagaji wa mpendwa wao.
Uagaji ukiendelea.
Mtoto wa marehemu akimuaga baba yake ‘hakika ni huzuni kubwa’
Majane wa marehemu akiwa hajiwezi baada ya kumuaga mume wake.
Mhariri wa habari wa gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli alilokuwa akiandikia marehemu Oging’ akilia kwa uchungu wakati wa kumuaga Makongoro.
Baba mlezi wa Makongoro Oging ambaye alimsomesha, akizungumza na wanahabari.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Makongoro kulipeleka kwenye gari kabla ya kuanza kwa safari ya kwenda mkoani Mara.
|
Jeneza likiingizwa kwenye gari tayari kwa safari.