VIJUE VIWANGO VYA TOZO KWA WATUMIAJI DARAJA LA NYERERE

Daraja la Nyerere, Dar

Daraja la Nyerere, Dar

VIWANGO VYA TOZO KWA WATUMIAJI WA DARAJA LA NYERERE

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) pamoja na Wadau wa Sekta ya Usafiri imeidhinisha viwango vya Tozo kwa watumiaji wa Daraja la Kigamboni vitakavyoanza kutumika rasmi kuanzia Jumamosi tarehe 14 Mei, 2016.

S/NA AINA KIWANGO CHA TOZO
1 WATEMBEA KWA MIGUU HAWATALIPIA
2 WAENDESHA BAISKELI 300/=
3 PIKIPIKI 600/=
4 MIKOKOTENI 1,500/=
5 GUTA 1,500/=
6 BAJAJI 1,500/=
7 MAGARI AINA YA SALOON 1,500/=
8 PICK-UP HADI TANI 2 2,000/=
9 STATION WAGON 2,000/=
10 GARI LA ABIRIA WASIOZIDI 15 3,000/=
11 GARI LINALOBEBA ABIRIA ZAIDI YA 15 – 29 5,000/=
12 GARI LINALOBEA ABIRIA ZAIDI YA 29 7,000/=
13 TREKTA LISILO NA TELA 7,000/=
14 TREKTA LENYE TELA 10,000/=
15 MAGARI YENYE UZITO ZAIDI YA TANI 2 – 7 7,000/=
16 MAGARI YENYE UZITO ZAIDI YA TANI 7 – 15 10,000/=
17 MAGARI YENYE UZITO ZAIDI YA TANI 15 – 20 15,000/=
18 MAGARI YENYE UZITO ZAIDI YA TANI 20 – 30 20,000/=
19 LORI AINA YA (SEMI – TRAILER) 25,000/=
20 LORI LENYE TRELA 30,000/=
21 MITAMBO 40,000/=
22 MAGARI YENYE VIPIMO VISIVYO VYA KAWAIDA (ABNORMAL LOAD) 75,000/=

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inawaomba watumiaji wa Daraja la Nyerere na Umma kwa ujumla kuzingatia tozo hizi kwa kadri ilivyoelekezwa; Aidha, watumiaji wa Daraja la Nyerere wanaaswa kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama barabarani kwa kutunza na kulinda miundombinu na mazingira ya daraja wakati wote.

Imetolewa na:
Eng. Joseph Nyamhanga
Katibu Mkuu (Ujenzi),
11 Mei, 2016

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF WORKS, TRANSPORT AND COMMUNICATION

Telegrams”UJENZI”, D’Salaam. 7 Samora Machel Avenue
P.O. BOX 9423
Telephone: +225222111553/9 11475 DAR ES SALAAM.
FAX: +225222118904 TANZANIA

TOLL RATES FOR NYERERE BRIDGE
Ministry of Works, Transport and Communication in collaboration with National Social Security Fund (NSSF) and other transport sector stakeholders has finalized the toll rates for Nyerere Bridge to start effectively from Saturday 14th May, 2016.
S/NO CATEGORY TOLL RATE (TZS)
1 PEDESTRIANS FREE
2 BICYCLES 300/=
3 TWO – WHEELER MOTORCYCLES 600/=
4 CARTS 1,500/=
5 TRICYCLES 1,500/=
6 THREE – WHEELER MOTORCYCLES 1,500/=
7 SALOON CARS 1,500/=
8 PICK-UP UP TO 2 TONES 2,000/=
9 STATION WAGON 2,000/=
10 MINIBUSES CARRYING UP TO 15 PASSENGERS 3,000/=
11 VEHICLES CARRYING ABOUT 15 UP TO 29 PASSENGERS 5,000/=
12 VEHICLES CARRYING MORE THAN 29 PASSENGERS 7,000/=
13 TRACTOR WITHOUT TRAILER 7,000/=
14 TRACTOR WITH TRAILER 10,000/=
15 VEHICLES ABOVE 2 TONES UP TO 7 TONES 7,000/=
16 VEHICLES ABOVE 7 TONES UP TO 15 TONES 10,000/=
17 VEHICLES ABOVE 15 TONES UP TO 20 TONES 15,000/=
18 VEHICLE ABOVE 20 TONES UP TO 30 TONES 20,000/=
19 SEMI TRAILER 25,000/=
20 TRUCK AND TRAILER 30,000/=
21 PLANT & EARTH MOVING EQUIPMENT 40,000/=
22 ABNORMAL LOAD 75,000/=

Ministry of Works, Transport and Communication appeals to users of the Nyerere Bridge to adhere with the set toll rates. However, the ministry advises users of the bridge to observe road safety laws and regulations. it also asks users of the Nyerere Bridge to maintain the infrastructure all the time.

Issued by:
Eng. Joseph Nyamhanga
Permanent Secretary (Works)
11 May, 2016