Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat).
Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat).
Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika akimtaja mshindi wa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kabla ya kumkabidhi zawadi mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat).
Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, John Kalage (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Elimu kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu, shirika hilo pia limetoa ufadhili wa masomo ya chuo ya thamani ya shilingi milioni tano kwa mshindi huyo.
Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Ndimara Tegambwage (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Meza ya majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, ikifuatilia hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Meza kuu ya mgeni rasmi katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, ikifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari nchini (Maelezo), Vicent Tiganya (kushoto) akitoa tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, kwa mmoja wa washindi wa mwaka huu, hafla ya tuzo hizo ilifanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari nchini (Maelezo), Vicent Tiganya (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa majaji wa Shindano la EJAT 2016, Jumma Dihule (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Elimu kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu, shirika hilo pia limetoa ufadhili wa masomo ya chuo ya thamani ya shilingi milioni tano kwa mshindi huyo.
Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kulia) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wageni maalumu waalikwa katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wageni maalumu waalikwa katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Jesse Kwayu (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washindi wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015 (kulia) akikabidhiwa tuzo yake katika hafla hiyo iliyofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa), Egbet Mkoko (kushoto) akikabidhi tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Michezo na Utamaduni (Utangazaji/Redio) kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu.
Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Jumma Dihule (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Ma MCs katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakiongoza utaratibu wa matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai.
Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Ndimara Tegambwage (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Nathan Mpangala (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washindi wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015 (kulia) akikabidhiwa tuzo yake pamoja na kupongezwa katika hafla hiyo iliyofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.