Newcastle Chupuchupu, Pata Matokeo na Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza

1

Klabu ya Newcastle imeendeleza matumaini yake ya kusalia katika ligi kuu ya Uingereza kufuatia bao la Andros Townsend na penalti iliopanguliwa na kipa wa klabu hiyo dhidi ya Crystal palace.

2

Matokeo ya Leo Jumamosi
Arsenal 1:0 Norwich City
West Bromwich Albion 0:3 West Ham United
Watford 3:2 Aston Villa
Everton 2:1 AFC Bournemouth
Newcastle United 1:0 Crystal Palace
Stoke City 1:1 Sunderland

msimamo