Wamaume Waunda Taasisi ya Kuelimishana Wajibu

IMG_3876

Mwanzilishi wa Taasisi ya Wanaume Man at Work Maxwell Stansalaus akizungumza na Wanaume ijini Arusha katika mkutano Mkuu wa Wanaume uliofanyika na kuhudhuriwa na zaidi ya wanaume 700 ambao lengo lake ni kuwakumbusha wanaume wajibu walionao kwa familia,jamii na taifa.

IMG_3943

Wanamuziki wa bendi wakitumbuiza katika Mutano wa wanaume ulioandaliwa na taasisi ya wanaume ya Man at work.

IMG_3825

MC King Chavala akisherehesha katika Mutano wa wanaume ulioandaliwa na taasisi ya wanaume ya Man at work. Picha na Ferdinand Shayo