Arsenal, Lecester City Mambao Yazidi Kuwa Magum

1

Klabu ya Arsenal imezidi Kuboteza matumaini ya kunyakua taji la ligi kuu la uingereza baada ya kulazimishwa sare na timu ya Crystal Palace ya Bao 1-1 bao la arsenal lilfngwa dakika 45′ na Sanchez huku lile la Crystal lilifungwa dakika ya 82 na Yannick Bolasie

2

Matokeo Mengine

AFC Bournemouth 1:2 Liverpool
Leicester City 2:2 West Ham United
Arsenal 1:1 Crystal Palace

msimamo