Mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye amekaa kwa muda wa siku 22 kwenye timu yake ya Sunderland na kufukuzwa kazi. Eboue aliweka mezan mkataba wa muda mfupi na club hiyo inayoshiriki EPL akiwa mchezaji huru
Sababu ya msingi ni kwamba FIFA imemfungia Eboue kujihusisha na soka kwa muda wa mwaka mmoja hadi pale atakampomlipa wakala wake wa zamani. Kwenye adhabu hiyo FIFA wamesema anaweza kujihusha na soka kama akilipa deni hilo.