Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga akitoa mukhtasari wa mashindano hayo kwa mwaka huu 2016 kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili kushoto). Kushoto ni Mlezi wa kamati ya Miss Tanzania ambaye pia ni Balozi wa Tanzania nchini Botswana, Mh. Emmanuel Ole Naiko na kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akifurahi jambo na mmoja wa wajumbe wa kamati ya Miss Tanzania
Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga akitoa mukhtasari wa mashindano hayo kwa mwaka huu 2016 kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili kushoto). Kushoto ni Mlezi wa kamati ya Miss Tanzania ambaye pia ni Balozi wa Tanzania nchini Botswana, Mh. Emmanuel Ole Naiko na kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akifurahi jambo na mmoja wa wajumbe wa kamati ya Miss Tanzania.
Kutoka kushoto ni Miss Tanzania 2014/2015, Lilian Kamazima, Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu pamoja na Miss Tanzania 2008, Nasreen Kareem wakimsikiliza Waziri Nape Nnauye (hayupo pichani).
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiendelea na mazungumzo na waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania na Wajumbe wa kamati hiyo kabla ya kuelekea kwenye uzinduzi rasmi
waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza wakishuhudia uzinduzi wa nembo mpya ya mashindano ya Miss Tanzania 2016 yaliyobeba kauli mbiu ya “Mrembo na Mazingira Safi”
Pichani juu na chini ni wadau wa tasnia ya urembo na wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa Msimu mpya wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2016