Mambo Yaiva Daraja la Kigamboni…!

Mwonekano wa lango la kuingilia daraja la Kigamboni  kwa upande wa Kigamboni, linavyoonekana pamoja na vyumba vya kukatia tiketi.

Mwonekano wa daraja la Kigamboni ambalo litafunguliwa rasmi mwezi ujao.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akipata maelezo kutoka kwa Meneja Msimamizi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni Eng. Karim Mattaka alipokagua daraja hilo leo jijini Dar es salaam.

Mwonekano wa vyumba vya ofisi zitakazotumiwa na wasimamizi wa Daraja la Kigamboni.

Barabara za maingilio (inter change) ya Daraja la Kigamboni upande wa Kurasini.