Wenger Awatoa Hofu Mashabiki Kuhusu Mchezo wa Leo Dhidi ya Barcelona

2

Meneja wa Klabu ya Arsena Mzee Arsene Wenger amesema kuwa aliwaacha mastaa wake wengi wa Kikosi cha kwanza Jumapili, Wakati timu hiyo ilipocheza na dhidi ya Watford na Kutolewa nje ya michuano ya FA katika uwanja wa Emirates katika mchezo wa Michuano ya FA Cup

3

Wenger amedai mchezo wao dhidi ya Watford ulikuwa sio muhimu sana ukilinganisha na huu wa leo utakaopigwa Nou Camp katika hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo ya Mabingwa Brani Ulaya dhidi ya Barcelona