Manchester City, Atletico Zatinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya

1

Jana usiku ligi ya Mabingwa ulaya iliendelea kwa micheozo miwili kupigwa ambapo Manchester City walikuwa wakicheza na Dynamo Kiev, mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Uwanja wa Etihad mjini Manchester.

2

Timu hizo zilitoka sare ya 0-0 na Man City inatinga Robo Fainali kwa ushindi wa 3-1 iliyopata kwenye mchezo wa kwanza ugenini

3

Nayo Atletico Madrid, ikaishinda kwa penalti 8-7 dhidi ya PSV Eindhoven mjini Madrid.

4

Atletico imetinga Robo Fainali kwa ushindi huo baada ya sare ya 0-0 kwenye mechi zote mbii nyumbani na ugenini

5

6

7

8

9

10