Zlatan Apiga Bao Nne Mwenyewe PSG Ikipiga Mtu Tisa

1

Mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic amefanya ameiwezesha timu yake ya PSG kupata ushindi wa bao 9-0 ugenini dhidi ya Troyes kwenye mchezo wa Ligue 1 ya Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Aube.

2

Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani, Adrien Rabiot, Dreyer na Saunier aliyejifunga

3

Kutokana na ushindi huo PSG wametangaza ubingwa wa ligi ya Ufaransa ikiwa imebaki miezi miwili kabla ya ligi kumalizika

4

5

6

7

8

9

<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/106.jpg" alt="10" width="962" height="751" class="alignnone size-full wp-image-69198" /