Membe- Waziri wa Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Arusha juu ya hatua mbalimbali zinazotakiwa kuchukuliwa ili kuinusuru nchi ya Libya kutoingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe (Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO-Arusha)