Watanzania Kushindania Milioni 300 za NMB…!

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Dar es Salaam, alipokuwa akitambulisha mchezo wa bahati nasibu utaoendeshwa na benki hiyo ambapo wateja wa NMB na watakaofungua akaunti mpya watajishindia kuanzia shilingi 100,000/- hadi shilingi milioni tatu 3,000,000/-. Katika bahati nasibu hiyo itakayojulikana kwa jina la "Pata Patia" jumla ya shilingi milioni 300 zitashindaniwa. Alisema jumla ya washindi 24 watapatikana kila mwezi. Aliongeza kuwa kila utakapoweka fedha kwenye akaunti yako ndivyo utakavyo jiongezea nafasi ya kushinda. Wengine Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu na Mkaguzi Mwandamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Mrisho Milao (kulia).

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Dar es Salaam, alipokuwa akitambulisha mchezo wa bahati nasibu utaoendeshwa na benki hiyo ambapo wateja wa NMB na watakaofungua akaunti mpya watajishindia kuanzia shilingi 100,000/- hadi shilingi milioni tatu 3,000,000/-. Katika bahati nasibu hiyo itakayojulikana kwa jina la “Pata Patia” jumla ya shilingi milioni 300 zitashindaniwa. Alisema jumla ya washindi 24 watapatikana kila mwezi. Aliongeza kuwa kila utakapoweka fedha kwenye akaunti yako ndivyo utakavyo jiongezea nafasi ya kushinda. Wengine Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu na Mkaguzi Mwandamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Mrisho Milao (kulia).

Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es Salaam, alipokuwa akitambulisha mchezo wa bahati nasibu utaoendeshwa na benki hiyo ambapo wateja waliopo wa NMB na watakaofungua akaunti mpya watapata nafasi ya kujishindia kuanzia shilingi 100,000/- hadi milioni tatu (3,000,000/-). Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa.

Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kulia) akitoa utaratibu na kuwatambulisha baadhi ya maofisa waandamizi wa Benki hiyo waliokuwa wakizungumza katika hafla hiyo ya kuutambulisha mchezo wa bahati nasibu wa Pata Patia kwa wanahabari.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa (kushoto) akiwatambulisha waandishi wa habari wawili ambao walibahatika kushinda katika uzinduzi wa bahati nasibu hiyo ya "Pata Patia" uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wanahabari hao mmoja alijishindia shilingi laki sita (600,000/-) na mwingine kushinda shilingi milioni moja (1,000,000/-) baada ya kuzungusha gurudumu la bahati nasibu.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa (kushoto) akiwatambulisha waandishi wa habari wawili ambao walibahatika kushinda katika uzinduzi wa bahati nasibu hiyo ya “Pata Patia” uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wanahabari hao mmoja alijishindia shilingi laki sita (600,000/-) na mwingine kushinda shilingi milioni moja (1,000,000/-) baada ya kuzungusha gurudumu la bahati nasibu.

Waandishi wa habari wawili ambao walibahatika kushinda katika uzinduzi wa bahati nasibu hiyo ya "Pata Patia" uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo wakijipongeza.

Waandishi wa habari wawili ambao walibahatika kushinda katika uzinduzi wa bahati nasibu hiyo ya “Pata Patia” uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo wakijipongeza.

Waandishi wa habari wawili ambao walibahatika kushinda katika uzinduzi wa bahati nasibu hiyo ya "Pata Patia" uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo wakipiga picha ya kumbukumbu na maofisa wa NMB waliokuwa wakitambulisha mchezo huo wa bahati nasibu "Pata Patia".

Waandishi wa habari wawili ambao walibahatika kushinda katika uzinduzi wa bahati nasibu hiyo ya “Pata Patia” uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo wakipiga picha ya kumbukumbu na maofisa wa NMB waliokuwa wakitambulisha mchezo huo wa bahati nasibu “Pata Patia”.