Ukarabati Mkumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Katibu Akagua…!

Katibu wa Bunge akiendelea kufanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge.

Katibu wa Bunge akiendelea kufanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Picha na Ofisi ya Bunge.

Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah (aliyesimama katikati) akikagua ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. Ukarabati huo unahusisha urekebishaji wa paa la ukumbi pamoja na urekebishaji wa Viti na mifumo ya Umeme.

Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah (wa kwanza kulia) akikagua ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.

Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah akikagua taa za Umeme ambazo zinatakiwa kubadilishwa wakati wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge.