Mambo yalivyo sasa ndani ya Uwanja waUhuru jijini Dar (Picha)

Hivi ndivyo mambo yalivyo ndani ya uwanja wa Uhuru Jijini Dar, Watu Msalaba Mwekundu  na Kamanda wa scout wakishusha Maji ya Kunywa na misaada mingine kwa ajili ya Wahanga hao waliopo ndani ya uwanja wa Uhuru.