Katibu Mtendaji wa Bodi ya Magavana wa Afrika (ACBF) Dk. Frannie Leautier (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Arusha kuhusu kuanza kwa Mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana wa Afrika (ACBF) unaotarajiwa kufunguliwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete Septemba 8, 2011. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano (ACBF), Audrey Mpunzwana na kushoto ni Mtaalamu kutoka ACBF, George Kararach (Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO-Arusha)