Warembo wanne kati ya 30 wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 waliopata kura nyingi za shindano la Vodacom Miss Personality wakipozi kwa picha baada ya kutangazwa. Kutoka kulia ni Dalilla Ghalib, Maua Kimambo, Alexia William na Cynthia Kimasha. fainali za Vodacom Miss Tanzania 2011 zitafanyika Septemba 11, mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam (Picha na Mpigapicha wetu)