Watumishi NEC Wapongezwa Kufanikisha Uchaguzi Mkuu 2015

Ofisa Ushirika toka Manispaa ya Ilala Bi. Mihayo Malunde akielezea umuhimu wa Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuanzisha kikundi cha akiba na mikopo (SACCOS) wakati wa kikao kazi kilichofanyika mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima (aliyesimama) akiwakaribisha wajumbe na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wakati Wajumbe hao na Mwenyekiti walipokwenda kuwashukuru na kuwapongeza watumishi wa tume hiyo kwa kuweza kufanikisha zoezi la uchaguzi kwa mafanikio makubwa.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akiongea na watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati alipokwenda kuwashukuru na kuwapongeza watumishi wa tume hiyo kwa kuweza kufanikisha zoezi la uchaguzi kwa mafanikio makubwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima (aliyesimama) akifurahia jambo na watumishi wa tume hiyo wakati  Wajumbe na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi  walipokwenda kuwashukuru na kuwapongeza watumishi wa tume hiyo kwa kuweza kufanikisha zoezi la uchaguzi kwa mafanikio makubwa. Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima (aliyesimama) akifurahia jambo na watumishi wa tume hiyo wakati Wajumbe na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi walipokwenda kuwashukuru na kuwapongeza watumishi wa tume hiyo kwa kuweza kufanikisha zoezi la uchaguzi kwa mafanikio makubwa. Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.