Msimamo Ligi Kuu Ya Uingereza

2464162_heroa
Klabu ya Leicester City imeendelea kushangaza katika Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kutoka sare ya Bila kufungana na miamba Manchester City Jana usiku
Ligi hiyo itaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa kati ya Sunderland watawaalika majogoo wa jiji la Anfield katika dimba la Stadium of Light.

Msimamo Ligi Kuu Ya Uingereza
No Timu Mechi Mabao Pointi
1 Arsenal 19 15 39
2 Leicester 19 12 39
3 Man City 19 17 36
4 Tottenham 19 18 35
5 Crystal Palace 19 7 31
6 Man Utd 19 6 30
7 West Ham 19 5 29
8 Watford 19 4 29
9 Stoke 19 1 29
10 Liverpool 18 -1 27
11 Everton 19 7 26
12 Southampton 19 3 24
13 West Brom 19 -6 23
14 Chelsea 19 -6 20
15 Norwich 19 -10 20
16 Bournemouth 19 -12 20
17 Swansea 19 -8 19
18 Newcastle 19 -15 17
19 Sunderland 18 -18 12
20 Aston Villa 19 -19 8