Tetesi za Usajili Januari hii

457429456
Cesc Fabregas anaweza kuondoka Chelsea mwezi januari baada ya kuingia kwenye Rada za timu nyingi kubwa zikiwemo Bayern, PSG and Man City lakini klabu ya Inter na Juventus wameonekana kuja kwa kasi zaidi
Schobesberger_Dribbling-1500x000
Hamburg, Leverkusen na Liverpool wanaitafuta saini ya Maximilian Hofmann wa Rapid Vienna.mchezaji huyo wa miaka 22 anachezaza nafasi ya ulinsi katika klabu yake nan i muhimili mkuu kwa sasa
Arsenal inafikilia kumnasa Marcelo Brozovic kutoka Inter ambao amitaka Arsenal kutoa kias cha 25 millions kwa kiuongo huyo raia wa Croatia
Davide-Santon
Davide Santon anaeza kuondoka mwezi januari Inter na kurudi tena katika klabu yake ya zamani Newcastle, lakini Ham wameonesha nia ya kumtaka mchezaji huyo