Viwanja Nane Kuwaka Moto Leo Ligi Kuu ya Uingereza

man-utd-chelsea-combined-xi_1iektlzq40xbu1niki4wg66hjg
Mwishoni mwa wiki Meneja wa Timu ya Liverpool urgen Klopp alikaliliwa akilalamiki akuwepo kwa mfululizo wa mechi wakati wa Krismasi hadi kuingia Mwaka Mpya ya Ligi Kuu England

Wakati the Big Mechi ambayo sio ya Kukosa itakuwa kati ya Manchester United watakapoikaribisha Chealsea LEO katika uwanjawa Old Trafford majira ya saa 2:30 usiku

Ratiba Kamili Michezo ya Leo Jumatatu Disemba 28
West Brom vs Newcastle – 12:00
Watford vs Tottenham– 12:00
Norwich vs Aston Villa– 12:00
Everton vs Stoke City –12:00
Palace vs Swansea–12:00
West Ham vs Southampton–2:30
Man United vs Chelsea -2:30
Asernal Vs Bournemouth -2:30