Wakazi Dar Wameza Vidonge vya Minyoo, Matende na Mabusha

Baadhi wa wakazi wa Dar es Salaam waliokutwa na mpiga picha wetu wakimeza vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye kituo cha kusubiri abiri wa Kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam.Aliyekaa chini na aliyesimama (aliyeshika kipima urefu) ni watumishi wa Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakigawa dawa hizo baada ya kumpima mwananchi urefu.

Baadhi wa wakazi wa Dar es Salaam waliokutwa na mpiga picha wetu wakimeza vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye kituo cha kusubiri abiri wa Kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam.Aliyekaa chini na aliyesimama (aliyeshika kipima urefu) ni watumishi wa Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakigawa dawa hizo baada ya kumpima mwananchi urefu. Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO

Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO

Kampeni ya Ugawaji wa Dawa za kujikinga na magonjwa ya minyoo, matende na mabusha inaanza jijini Dar es Salaam mwezi huu na inatarajiwa kuendelea katika mikoa ya Katavi, Rukwa, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na Pwani.
Mikoa iliyobakia itafanya kampeni hiyo itafanyika kwa awamu kati ya Januari na Februari mwaka huu. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, dawa zinazotolewa ambazo ni Albendazolena Ivermectin hazina madhara yoyote kiafya.